About Us

Ukurasa huu ni mahususi kwaajiri ya kusaidia mmiliki wa biashara kupanga mikakati ya; kukuza biashara, masoko, na mtaji kupitia usimamizi bora wa fedha(Financial Management) na raslimali watu(Human Resources), Ili kupanua wigo wa biashara pamoja na faida kwa kutoa njia sahihi za kitaalam ili kumsaidia mfanya biashara kuendana na soko la ushindani.

Pia mfanyabiashara atapata ushauri na ufafanuzi juu ya sheria mbalimbali zinazohusiana na maswala ya biashara yaani;
(1) Sheria ya Mikataba(LCA)
(2) Sheria ya Mikataba ya Manunuzi ya Umma(PPA&PPRA)
(3) Sheria ya Mauzo ya bidhaa(SOGA)
(4)Sheria ya biashara ya Kimataifa
(5) Sheria ya Ushindani wa biashara.

No comments:

Post a Comment